Maswali yaliyoulizwa na wengine walipopata tatizo pengine kama lako.
Kanisa lenu liko eneo gani
Kufika kanisani kwetu, ukiwa unatokea Dodoma mjini, pitia barabara iendayo Arusha (au barabara inayokwenda chuo cha Mipango). Tuko mtaa wa maili mbili, Ukiwa unatumia usafiri omba kushushiwa kanisani kwa walokole, ukifika hapo utaona jengo letu la kanisa na maandishi makubwa kwa nje. Lakini pia kanisa liko mbele kidogo ya kituo kiitwacho Wajenzi na nyuma kidogo ya kituo kiitwacho darajani hapo hapo katika mtaa wa Maili mbili.
BONYEZA HAPA kutazama tulipo katika ramani (kutokea Dodoma mjini)
Nawezaje kuonanana na Mchungaji
Mchungaji hupatikana katika ofisi yake iliyopo kanisani Mlimwa siku ya Jumanne kuanzia saa 11:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.